TopPodcast.com
Menu
  • Home
  • Top Charts
  • Top Networks
  • Top Apps
  • Top Independents
  • Top Podfluencers
  • Top Picks
    • Top Business Podcasts
    • Top True Crime Podcasts
    • Top Finance Podcasts
    • Top Comedy Podcasts
    • Top Music Podcasts
    • Top Womens Podcasts
    • Top Kids Podcasts
    • Top Sports Podcasts
    • Top News Podcasts
    • Top Tech Podcasts
    • Top Crypto Podcasts
    • Top Entrepreneurial Podcasts
    • Top Fantasy Sports Podcasts
    • Top Political Podcasts
    • Top Science Podcasts
    • Top Self Help Podcasts
    • Top Sports Betting Podcasts
    • Top Stocks Podcasts
  • Podcast News
  • About Us
  • Podcast Advertising
  • Contact
Not in our directory?
Add Show Here
Podcast Equipment
Center

toppodcastlogoOur TOPPODCAST Picks

  • Comedy
  • Crypto
  • Sports
  • News
  • Politics
  • True Crime
  • Business
  • Finance

Follow Us

toppodcastlogoStay Connected

    View Top 200 Chart
    Back to Rankings Page
    News & Politics

    Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

    Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea iwe ni katika uga wa uchumi na siasa duniani kote.

    Advertise

    Copyright: © Rfi

    • Apple Podcasts
    • Google Play
    • Spotify

    Latest Episodes:
    ADF yaua watu mjini Kantine-Aloya huko DRC, Lisu ahukumiwa miaka minne jela Tanzania Nov 07, 2026
    Show notes

    Watu zaidi ya 30 wauawa katika shambulio la ADF kwenye mji wa Cantine-Aloya mashariki mwa DRC; mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alihukumiwa kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi, nchini Kenya mchungaji aliyewaaminisha waamini wa kanisa lake wafunge kula hadi kufa ili waende kumuona Yesu Paul Mackenzie alihukumiwa kifungo cha miaka 200 jela kwa kupatikana na kosa la mauaji, hali nchini Sudan, huko Senegal, matokeo ya uchaguzi wa katikati ya muhula, pigo kwa Republican, Marekani.


    ADF wajinufaisha na madini huko DRC, maadhimisho ya mwaka1 wa vurugu Tanzania Oct 31, 2026
    Show notes

    Na miongoni mwa yaliyojiri wiki hii ni pamoja na Tanzania kuadhimisha mwaka mmoja baada ya vurugu zilizohusishwa na uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 mkutano wa siki mbili kati ya Urusi na viongozi wa Afrika, jijini Moscow, nchini Urusi, hali inavyojiri nchini DRC baada ya chama cha FRN kutangazwa, Sudan baada ya mashambulio ya ndege zisizo na rubani, Chad na Ufaransa kufikia makubaliano ya usalama, na uchaguzi wa urais nchini Israeli


    Watu 11 wakwama katika jengo lililoporomoka jijini Nairobi, hali ya Ebola kuzua wasiwasi Oct 24, 2026
    Show notes

    Yaliyojiri wiki hii ni pamoja na watu kadhaa wahofiwa kufukiwa na jengo lililoporormoka mtaani Eastleigh jijini Nairobi nchini Kenya, hali ya sintofahamu yaendelea kuzingira kisa cha ebola kilichoripotiwa nchini Nigeria wiki hii, huko DRC mashirika ya kimataifa yaliendelea kuhoji kuhusu dola milioni mia 7 zilizotengewa mapambano ya Ebola, maandamano yanaendelea kufanyika nchini Ufaransa.


    Rais wa zamani wa DRC aunda chama kipya cha uasi, wakenya wamkumbuka Raila Oct 17, 2026
    Show notes

    Makala hii imeangazia hatua ya rais mstaafu wa DRC Joseph Kabila kuzindua muungano mpya wa uasi wa FRN. Maadhimisho ya miaka 27 tangu alipoaga dunia mwasisi wa taifa la Tanzania mwalimu Julius Kambarage Nyerere, maadhimisho ya mwaka wa kwanza tangu kifo cha aliyekuwa mwanasiasa mashuhuri na kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga, ziara ya mfalme wa Hispania Filipe wa Sita kwenye kisiwa cha Ceuta,Trump alisema walifikia makubaliano ya nishati na Urusi


    Kenya hakuna mlipuko wa Ebola, ajali ya gari yaua 32 nchini Tanzania Oct 10, 2026
    Show notes

    Makala hii imeangazia kisa cha mgonjwa wa ebola aliyetokea DRC kufariki dunia, watu 32 wamepoteza maisha katika ajali ya barabarani mkoani Morogoro nchini Tanzania, na ujumbe wa wawezeshaji wa Umoja wa Afrika kutembelea Kinshasa baada ya kuzuru Kigali Rwanda na Goma, na kwengineko Navy Pillay ndiye mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel mwaka 2026


    Uzinduzi wa kiwanda cha mafuta cha Dangote, na kifo cha Chivayo huko Zimbabwe Oct 03, 2026
    Show notes

    Miongoni mwa yaliyojiri wiki hii ni pamoja na uzinduzi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote, huko Lamu, pwani ya Kenya, mapigano yaendelea huko Ethiopia, kifo cha bilionea wa Zimbabwe, kutawazwa kwa mfalme wa Tooro, rais wa Nigeria Tinubu, aahidi kupunguza gharama ya maisha na ajira zaidi, rubani amchoma kisu mwenzake ndani ya ndege iliyokuwa ikielekea Israel, na mengineyo


    Kiir avunja serikali kuelekea Uchaguzi mkuu wa Sudan Kusini, mapigano mapya yaanza nchini Ethiopia. Sep 27, 2026
    Show notes

    Taarifa kuu utakayoskia kwenye makala haya ni pamoja na Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir avunja serikali kuelekea Uchaguzi mkuu wa mwezi Disemba.

    Kwingineko nchini Ethiopia, mapigano mapya yameanza tena kati ya vikosi vya Tigray na jeshi la nchi hiyo. Utaskia pia punde zaidi katika mkutano wa UNGA nchini Marekani.


    Raia wa Burundi waondoka Kenya, mioto yaangamiza shule, kumbi za Harusi DRC Sep 12, 2026
    Show notes

    Raia wa Burundi walivyokumbwa na masaibu jijini Nairobi, Kenya wengine wakaamua kuondoka, ajali ya mioto iliyotokea nchini DRC, kuanzia Kinshasa wakati wa sherehe ya harusi, kuja Bukavu Kivu kusini ambapo wanafunzi wengi walikufa katika moto ulioshika shule moja, huku ajali ya moto ikiripotiwa mjini Goma, Kivu kaskazini; mazishi ya mfalme wa Tooro huko Uganda kufanyika jumamosi hii, hali nchini Tanzania na Kenya, lakini pia yaliyojiri Afrika magharibi, na kwengineko duniani.


    Wanaharakati Kenya wadai kuachwa huru kwa Lisu na Besigye, Tshisekedi azuru Israeli Sep 05, 2026
    Show notes

    Makala hii imeangazia maandamano ya wanaharakati wa Kenya wakidai kuachwa huru kwa wapinzani Tundu Lisu huko Tanzania, na Kiiza Besigye huko Uganda, wanaokabiliwa na mashitaka ya uhaini, ziara ya rais Felix Tshisekedi huko Israeli, umoja wa mataifa kutaka serikali ya Zambia kuacha kukandamiza wapinzani baada ya uchaguzi, na mvutano kati ya Morocco na Uhispania, mashambulio makali kati ya Marekani na Iran baada ya kukwama kwa juhudi za kidiplomasia kati yao.


    Kujiuzulu kwa makamu wa rais Tanzania, Tshisekedi azindua mazungumzo ya kitaifa bila M23 Aug 29, 2026
    Show notes

    Makala hii imeangazia kujiuzulu kwa makamu wa rais wa Tanzania Emmanuel Nchimbi, huku bunge limemwidhinisha Deogracias Ndejembi kuwa makamu mpya wa rais, na huko DRC rais Felix Tshisekedi amezindua mazungumzo ya kitaifa ambayo yatadumu kwenye majimbo 26 kabla ya kukamilishwa mjini Kinshasa, akiwatenga waasi wa M23, siasa za Kenya, Sudan na wanajihadi wa Nigeria wanavyojikusanyia fedha, pia mzozo wa mlango bahari wa Hormuz kati ya Marekani na Iran


    1 2 3 4 Next

    Related Podcasts

    Crimetown

    1

    Crimetown News
    Up and Vanished

    2

    Up and Vanished News & Politics
    The Joe Rogan Experience

    3

    The Joe Rogan Experience Comedy
    Missing & Murdered: Finding Cleo

    4

    Missing & Murdered: Finding Cleo News & Politics
    Casefile True Crime

    5

    Casefile True Crime Games & Hobbies
    Code Switch

    6

    Code Switch News
    footer-logo

    Contact Us

    Toll Free: 844-670-7747

    Links

    • Home
    • Top Charts
    • Networks
    • Apps
    • Independents Podcasts
    • Podcast Advertising
    • Podcast News
    • Contact Us
    • About Us
    • Analytics & Insights

    Stay Connected

      Privacy, Terms of Use & Our Code of Ethics Protecting Content Creators Copyrights