TopPodcast.com
Menu
  • Home
  • Top Charts
  • Top Networks
  • Top Apps
  • Top Independents
  • Top Podfluencers
  • Top Picks
    • Top Business Podcasts
    • Top True Crime Podcasts
    • Top Finance Podcasts
    • Top Comedy Podcasts
    • Top Music Podcasts
    • Top Womens Podcasts
    • Top Kids Podcasts
    • Top Sports Podcasts
    • Top News Podcasts
    • Top Tech Podcasts
    • Top Crypto Podcasts
    • Top Entrepreneurial Podcasts
    • Top Fantasy Sports Podcasts
    • Top Political Podcasts
    • Top Science Podcasts
    • Top Self Help Podcasts
    • Top Sports Betting Podcasts
    • Top Stocks Podcasts
  • Podcast News
  • About Us
  • Podcast Advertising
  • Contact
Not in our directory?
Add Show Here
Podcast Equipment
Center

toppodcastlogoOur TOPPODCAST Picks

  • Comedy
  • Crypto
  • Sports
  • News
  • Politics
  • True Crime
  • Business
  • Finance

Follow Us

toppodcastlogoStay Connected

    View Top 200 Chart
    Back to Rankings Page
    News & Politics

    Muziki Ijumaa

    Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.

    Advertise

    Copyright: © Rfi

    • Apple Podcasts
    • Google Play
    • Spotify

    Latest Episodes:
    Safari ya vibao vya Klasiki Kutoka Marekani hadi Afrika Mashariki na Kati Jan 09, 2026
    Show notes

    Karibu katika muziki Ijumaa, makala maalumu ya RFI Kiswahili inayokuletea vibao vya kukumbukwa vilivyoacha alama kubwa katika historia ya muziki wa dunia.
    Wiki hii tunasafiri kimuziki kutoka Marekani, kupitia Karibiani, hadi Afrika Mashariki na Afrika ya Kati, tukifurahia nyimbo zenye ujumbe wa furaha, mapenzi, imani na utu.

    Safari yetu inaanza nchini Marekani kwa kibao “Celebration” cha kundi la Kool & The Gang wimbo uliogeuka kuwa nembo ya sherehe duniani kote, ukiwahamasisha watu kusahau huzuni na kusherehekea maisha.

    Kutoka hapo tunatua Karibiani kupitia “Jamaica Farewell”wa Don Williams, wimbo wenye ladha ya country na mguso wa kisiwa, unaoelezea mapenzi, kumbukumbu na uchungu wa kuaga ardhi unayoipenda.

    Safari inaendelea nyumbani Afrika Mashariki kwa kibao cha Kiswahili “Mulofa wangu” cha marehemu Daudi Kabaka kutoka Kenya, wimbo wa mapenzi uliojaa hisia nzito na lugha tamu, unaothibitisha ubora wa muziki wa zamani wa Afrika Mashariki.

    Tunafunga safari yetu Afrika ya Kati kwa “Le Bon Samaritain” wa gwiji wa rumba Papa Noël kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wimbo unaochanganya ala za gitaa za kipekee na ujumbe wa utu, huruma na kusaidiana katika jamii.


    Kenya : Muziki ndani ya rfi Kiswahili Dec 24, 2025
    Show notes

    Kila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi ya kuchagua muziki ndani ya makala ya muziki Ijumaa.

    Skiza makala ya jumaa hili.


    Burudani ya Muziki Ijumaa na Mtangazaji wako asipenda makuu Billy Bilali Dec 13, 2025
    Show notes

    Katika Makala haya mtangazaji wako asiependa makuu anakuletea Burudani ya Muziki Juma hili.


    Burudani ndani ya makala Muziki Ijumaa, Jul 22, 2025
    Show notes

    Muziki Ijumaa ambapo tunakupa fursa kuomba muziki unaoupenda Feb 21, 2025
    Show notes

    Kenya kipindi hiki,ungana na Victor Moturi ,ambaye atamekuandalia burudani tosha ,burudikaa


    Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili iliondaliwa na Ali Bilali Dec 27, 2024
    Show notes

    Ambatana na mshika usukani Ali Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili


    Muziki iliyoombwa na waskilizaji msimu wa maadhimisho ya Jamhuri nchini Kenya Dec 13, 2024
    Show notes

    Makala ya Muziki Ijumaa na machaguo ya msikilizaji Aug 31, 2024
    Show notes

    Pata burudani tosha kutoka kwa wanamuziki wa kike barani Afrika Jul 19, 2024
    Show notes

    Kwenye makala haya tunakaribisha wikendi kwa miziki mbalimbali na leo wanamuziki wa kike wanatupambia makala.


    Mziki wa kukata na shoka ndani ya rfi kiswahili Kila Ijumaa Jun 28, 2024
    Show notes

    Kila Ijumaa ndani ya makala Muziki Ijumaa unapata nafasi ya kuskia miziki ya tabaka mbalimbali hasa ile ambayo umeitisha wewe mskilizaji.

    Juma hili Bwana Wakoli anakupakulia miziki iliovuma, inayovuma na ile itakayovuma, skiza makala haya kuelewa maana ya miziki ilioenda shule na kafuzu.


    Previous 1 2 3 Next

    Related Podcasts

    Crimetown

    1

    Crimetown News
    Up and Vanished

    2

    Up and Vanished News & Politics
    The Joe Rogan Experience

    3

    The Joe Rogan Experience Comedy
    Missing & Murdered: Finding Cleo

    4

    Missing & Murdered: Finding Cleo News & Politics
    Casefile True Crime

    5

    Casefile True Crime Games & Hobbies
    Code Switch

    6

    Code Switch News
    footer-logo

    Contact Us

    Toll Free: 844-670-7747

    Links

    • Home
    • Top Charts
    • Networks
    • Apps
    • Independents Podcasts
    • Podcast Advertising
    • Podcast News
    • Contact Us
    • About Us
    • Analytics & Insights

    Stay Connected

      Privacy, Terms of Use & Our Code of Ethics Protecting Content Creators Copyrights